Monday, 27 February 2012

Mahabuba Wangu, Hata Kifo Hakitatutenga: My Love, Even Death Won’t Separate Us


Copyright: Magpie Tales


Mahabuba wangu, hata nife roho yangu ipae akhera
Mpigo wa moyo wangu hautasheheni la kukera
Masalio ya mwili wangu utazikwa kaburini
Lakini mikono yangu nitayanyoosha mbiguni
Kutoa dua la hili penzi, kukupenda  ewe waridi
Ijapo nafsi yangu itagubikwa na mauti
Nakshi hii itapenya na kukaidi kifo


My love, though my spirit be dead
The pumping of my heart will harbor no bitterness
Though my body be buried in the cemetery
My arms will be raised to the heavens
To make petitions of this love, of my love for you
Though my soul be shrouded in death
This fragrance will defy death

Hata izraili akiniita, nami niitike,
Sikio langu litafuata sauti yako, hilo ulifahamu,
Ua lolote utakaloliweka kaburini mwangu haitakuwa hasara
Maadamu chozi lako litalizuia kunyauka
Iwapo kwa muda, juhudi zako zitanifaa

Even when the Angel of Death calls me
My ears would be attuned to your voice
Whatever rose you will place on my grave won’t be in vain
Though your tears will keep the roses from wilting
Even for a while, your love won’t be in vain
Poem translated from Kiswahili.

For a Prompt by Magpie Tales2 comments:

Sherry Blue Sky said...

SO beautiful!!!! This is my favorite interpretation of the prompt.

echoesofthehills said...

Thanks Koko. Telepathic, huh?

Post a Comment

Echoes of the Hills is all about you. I would love to hear your echo...

You Might Also Like

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Disqus for Echoes of the Hills