#1
You who toil everyday
You who fail to observe Sabbath
I ask, when do you worship?
Ewe unayetia bidii
Unayepuuza siku ya Sabato
Nauliza, unaabudu lini?
#2
His words command obedience
They are not like ours
Scattered within a fairy tale
Maneno yake yanafaa utii
Si kama yetu
Zilizotapakaa katika ngano
#3
You heard the Constitution
Like a human being, is a living document
So are God’s words
Ulisikia kwamba Katiba
Sawa na binadamu, inaishi
Hivyo basi ndivyo maneno ya Mungu










